1 Timotheo 4:10
1 Timothy 4:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
(nasi kwa ajili ya hili tunajitaabisha na kujitahidi), kwamba tumeweka tumaini letu kwa Mungu aliye hai, ambaye ni Mwokozi wa watu wote, hasa wale waaminio.
1 Timothy 4:10 in English
1 Timothy 4:10 · Berean Standard Bible
To this end we labor and strive,* because we have set our hope on the living God, who is the Savior of everyone, and especially of those who believe.
Context
8Kwa maana mazoezi ya mwili yana faida kwa sehemu, lakini utauwa una faida katika mambo yote, yaani, unayo ahadi ya uzima wa sasa na ya ule ujao. 9Hili ni neno la kuaminiwa tena lastahili kukubaliwa kabisa, 10(nasi kwa ajili ya hili tunajitaabisha na kujitahidi), kwamba tumeweka tumaini letu kwa Mungu aliye hai, ambaye ni Mwokozi wa watu wote, hasa wale waaminio. 11Mambo haya yaagize na kuyafundisha. 12Mtu yeyote asikudharau kwa kuwa wewe ni kijana, bali uwe kielelezo kizuri kwa waumini katika usemi, mwenendo, upendo, imani na usafi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.