Native Bible

1 Timothy 4:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mambo haya yaagize na kuyafundisha.

1 Timothy 4:11 in English

1 Timothy 4:11 · Berean Standard Bible

Command and teach these things.

Context

9Hili ni neno la kuaminiwa tena lastahili kukubaliwa kabisa, 10(nasi kwa ajili ya hili tunajitaabisha na kujitahidi), kwamba tumeweka tumaini letu kwa Mungu aliye hai, ambaye ni Mwokozi wa watu wote, hasa wale waaminio. 11Mambo haya yaagize na kuyafundisha. 12Mtu yeyote asikudharau kwa kuwa wewe ni kijana, bali uwe kielelezo kizuri kwa waumini katika usemi, mwenendo, upendo, imani na usafi. 13Fanya bidii kusoma Maandiko hadharani, kuhubiri na kufundisha, mpaka nitakapokuja.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.