Native Bible

1 Timothy 4:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usijishughulishe kamwe na hadithi za kipagani na masimulizi ya uongo ya wanawake wazee; badala yake, jizoeze kuwa mtauwa.

1 Timothy 4:7 in English

1 Timothy 4:7 · Berean Standard Bible

But reject irreverent, silly myths. Instead, train yourself for godliness.

Context

5kwa sababu kimetakaswa kwa neno la Mungu na kwa kuomba. 6Kama ukiwakumbusha ndugu mambo haya, utakuwa mtumishi mwema wa Kristo Yesu, uliyelelewa katika kweli ya imani na yale mafundisho mazuri uliyoyafuata. 7Usijishughulishe kamwe na hadithi za kipagani na masimulizi ya uongo ya wanawake wazee; badala yake, jizoeze kuwa mtauwa. 8Kwa maana mazoezi ya mwili yana faida kwa sehemu, lakini utauwa una faida katika mambo yote, yaani, unayo ahadi ya uzima wa sasa na ya ule ujao. 9Hili ni neno la kuaminiwa tena lastahili kukubaliwa kabisa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.