1 Timotheo 4:5
1 Timothy 4:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa sababu kimetakaswa kwa neno la Mungu na kwa kuomba.
1 Timothy 4:5 in English
1 Timothy 4:5 · Berean Standard Bible
because it is sanctified by the word of God and prayer.
Context
3Wao huwakataza watu wasioe na kuwaagiza wajiepushe na vyakula fulani, ambavyo Mungu aliviumba ili vipokewe kwa shukrani na wale wanaoamini na kuijua kweli. 4Kwa maana kila kitu alichokiumba Mungu ni chema, wala hakuna kitu chochote cha kukataliwa kama kikipokewa kwa shukrani, 5kwa sababu kimetakaswa kwa neno la Mungu na kwa kuomba. 6Kama ukiwakumbusha ndugu mambo haya, utakuwa mtumishi mwema wa Kristo Yesu, uliyelelewa katika kweli ya imani na yale mafundisho mazuri uliyoyafuata. 7Usijishughulishe kamwe na hadithi za kipagani na masimulizi ya uongo ya wanawake wazee; badala yake, jizoeze kuwa mtauwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.