1 Timotheo 2:13
1 Timothy 2:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana Adamu aliumbwa kwanza, kisha Eva.
1 Timothy 2:13 in English
1 Timothy 2:13 · Berean Standard Bible
For Adam was formed first, and then Eve.
Context
11Mwanamke na ajifunze kwa utulivu na kwa utiifu wote. 12Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa kimya. 13Kwa maana Adamu aliumbwa kwanza, kisha Eva. 14Wala si Adamu aliyedanganywa, bali ni mwanamke aliyedanganywa akawa mkosaji. 15Lakini mwanamke ataokolewa kwa kuzaa kwake, kama wakiendelea kudumu katika imani, upendo na utakatifu, pamoja na kuwa na kiasi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.