Native Bible

1 Timothy 2:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwanamke na ajifunze kwa utulivu na kwa utiifu wote.

1 Timothy 2:11 in English

1 Timothy 2:11 · Berean Standard Bible

A woman * must learn in quietness and full submissiveness.

Context

9Vivyo hivyo nataka wanawake wajipambe kwa adabu na kwa heshima katika mavazi yanayostahili, si kwa kusuka nywele, kuvalia dhahabu, lulu au mavazi ya gharama kubwa, 10bali kwa matendo mazuri kama iwapasavyo wanawake wanaokiri kuwa wanamcha Mungu. 11Mwanamke na ajifunze kwa utulivu na kwa utiifu wote. 12Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa kimya. 13Kwa maana Adamu aliumbwa kwanza, kisha Eva.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.