1 Timotheo 2:12
1 Timothy 2:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa kimya.
1 Timothy 2:12 in English
1 Timothy 2:12 · Berean Standard Bible
I do not permit a woman to teach or to exercise authority over a man;* she is to remain quiet.
Context
10bali kwa matendo mazuri kama iwapasavyo wanawake wanaokiri kuwa wanamcha Mungu. 11Mwanamke na ajifunze kwa utulivu na kwa utiifu wote. 12Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa kimya. 13Kwa maana Adamu aliumbwa kwanza, kisha Eva. 14Wala si Adamu aliyedanganywa, bali ni mwanamke aliyedanganywa akawa mkosaji.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.