Native Bible

1 Timothy 2:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wala si Adamu aliyedanganywa, bali ni mwanamke aliyedanganywa akawa mkosaji.

1 Timothy 2:14 in English

1 Timothy 2:14 · Berean Standard Bible

And it was not Adam who was deceived, but the woman who was deceived and fell into transgression.

Context

12Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa kimya. 13Kwa maana Adamu aliumbwa kwanza, kisha Eva. 14Wala si Adamu aliyedanganywa, bali ni mwanamke aliyedanganywa akawa mkosaji. 15Lakini mwanamke ataokolewa kwa kuzaa kwake, kama wakiendelea kudumu katika imani, upendo na utakatifu, pamoja na kuwa na kiasi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.