Native Bible

1 Timothy 2:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini mwanamke ataokolewa kwa kuzaa kwake, kama wakiendelea kudumu katika imani, upendo na utakatifu, pamoja na kuwa na kiasi.

1 Timothy 2:15 in English

1 Timothy 2:15 · Berean Standard Bible

Women, however, will be saved through childbearing, if they continue in faith, love, and holiness, with self-control.

Context

13Kwa maana Adamu aliumbwa kwanza, kisha Eva. 14Wala si Adamu aliyedanganywa, bali ni mwanamke aliyedanganywa akawa mkosaji. 15Lakini mwanamke ataokolewa kwa kuzaa kwake, kama wakiendelea kudumu katika imani, upendo na utakatifu, pamoja na kuwa na kiasi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.