1 Wathesalonike 5:9
1 Thessalonians 5:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana Mungu hakutuita ili tupate ghadhabu bali tupate wokovu kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo.
1 Thessalonians 5:9 in English
1 Thessalonians 5:9 · Berean Standard Bible
For God has not appointed us to suffer wrath, but to obtain salvation through our Lord Jesus Christ.
Context
7Kwa kuwa wote walalao hulala usiku na wale walewao hulewa usiku. 8Lakini kwa kuwa sisi ni wana wa mchana, basi tuwe na kiasi, tukijivika imani na upendo kama dirii kifuani na tumaini letu la wokovu kama chapeo. 9Kwa maana Mungu hakutuita ili tupate ghadhabu bali tupate wokovu kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo. 10Yeye alikufa kwa ajili yetu ili hata kama tuko macho au tumelala, tupate kuishi pamoja naye. 11Kwa hiyo farijianeni na kujengana, kama vile mnavyofanya sasa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.