1 Wathesalonike 5:11
1 Thessalonians 5:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo farijianeni na kujengana, kama vile mnavyofanya sasa.
1 Thessalonians 5:11 in English
1 Thessalonians 5:11 · Berean Standard Bible
Therefore encourage and build one another up, just as you are already doing.
Context
9Kwa maana Mungu hakutuita ili tupate ghadhabu bali tupate wokovu kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo. 10Yeye alikufa kwa ajili yetu ili hata kama tuko macho au tumelala, tupate kuishi pamoja naye. 11Kwa hiyo farijianeni na kujengana, kama vile mnavyofanya sasa. 12Sasa tunawaomba, ndugu, waheshimuni wale wanaofanya kazi kwa bidii miongoni mwenu, wale ambao wana mamlaka juu yenu katika Bwana na ambao wanawaonya. 13Waheshimuni sana katika upendo kwa ajili ya kazi zao. Ishini kwa amani ninyi kwa ninyi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.