1 Wathesalonike 5:12
1 Thessalonians 5:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sasa tunawaomba, ndugu, waheshimuni wale wanaofanya kazi kwa bidii miongoni mwenu, wale ambao wana mamlaka juu yenu katika Bwana na ambao wanawaonya.
1 Thessalonians 5:12 in English
1 Thessalonians 5:12 · Berean Standard Bible
But we ask you, brothers, to acknowledge those who work diligently among you, who preside over you in the Lord and give you instruction.
Context
10Yeye alikufa kwa ajili yetu ili hata kama tuko macho au tumelala, tupate kuishi pamoja naye. 11Kwa hiyo farijianeni na kujengana, kama vile mnavyofanya sasa. 12Sasa tunawaomba, ndugu, waheshimuni wale wanaofanya kazi kwa bidii miongoni mwenu, wale ambao wana mamlaka juu yenu katika Bwana na ambao wanawaonya. 13Waheshimuni sana katika upendo kwa ajili ya kazi zao. Ishini kwa amani ninyi kwa ninyi. 14Nasi twawasihi, ndugu, waonyeni walio wavivu, watieni moyo waoga, wasaidieni wanyonge na kuwavumilia watu wote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.