Native Bible

1 Thessalonians 5:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa wote walalao hulala usiku na wale walewao hulewa usiku.

1 Thessalonians 5:7 in English

1 Thessalonians 5:7 · Berean Standard Bible

For those who sleep, sleep at night; and those who get drunk, get drunk at night.

Context

5Ninyi nyote ni wana wa nuru na wana wa mchana. Sisi si wana wa giza wala wa usiku. 6Kwa hiyo basi, tusilale kama watu wengine walalavyo, bali tukeshe na kuwa na kiasi. 7Kwa kuwa wote walalao hulala usiku na wale walewao hulewa usiku. 8Lakini kwa kuwa sisi ni wana wa mchana, basi tuwe na kiasi, tukijivika imani na upendo kama dirii kifuani na tumaini letu la wokovu kama chapeo. 9Kwa maana Mungu hakutuita ili tupate ghadhabu bali tupate wokovu kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.