Native Bible

1 Thessalonians 5:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini kwa kuwa sisi ni wana wa mchana, basi tuwe na kiasi, tukijivika imani na upendo kama dirii kifuani na tumaini letu la wokovu kama chapeo.

1 Thessalonians 5:8 in English

1 Thessalonians 5:8 · Berean Standard Bible

But since we belong to the day, let us be sober, putting on the breastplate of faith and love, and the helmet of our hope of salvation.

Context

6Kwa hiyo basi, tusilale kama watu wengine walalavyo, bali tukeshe na kuwa na kiasi. 7Kwa kuwa wote walalao hulala usiku na wale walewao hulewa usiku. 8Lakini kwa kuwa sisi ni wana wa mchana, basi tuwe na kiasi, tukijivika imani na upendo kama dirii kifuani na tumaini letu la wokovu kama chapeo. 9Kwa maana Mungu hakutuita ili tupate ghadhabu bali tupate wokovu kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo. 10Yeye alikufa kwa ajili yetu ili hata kama tuko macho au tumelala, tupate kuishi pamoja naye.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.