1 Wathesalonike 5:6
1 Thessalonians 5:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo basi, tusilale kama watu wengine walalavyo, bali tukeshe na kuwa na kiasi.
1 Thessalonians 5:6 in English
1 Thessalonians 5:6 · Berean Standard Bible
So then, let us not sleep as the others do, but let us remain awake and sober.
Context
4Bali ninyi, ndugu, hampo gizani hata siku ile iwakute ghafula kama mwizi. 5Ninyi nyote ni wana wa nuru na wana wa mchana. Sisi si wana wa giza wala wa usiku. 6Kwa hiyo basi, tusilale kama watu wengine walalavyo, bali tukeshe na kuwa na kiasi. 7Kwa kuwa wote walalao hulala usiku na wale walewao hulewa usiku. 8Lakini kwa kuwa sisi ni wana wa mchana, basi tuwe na kiasi, tukijivika imani na upendo kama dirii kifuani na tumaini letu la wokovu kama chapeo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.