1 Wafalme 7:44
1 Kings 7:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ile Bahari ya chuma na yale mafahali kumi na wawili chini yake;
1 Kings 7:44 in English
1 Kings 7:44 · Berean Standard Bible
the Sea; the twelve oxen underneath the Sea;
Context
42makomamanga 400 kwa ajili ya hizo nyavu mbili (safu mbili za makomamanga kwa kila wavu, yakipamba hayo mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo); 43vitako kumi pamoja na masinia yake kumi; 44ile Bahari ya chuma na yale mafahali kumi na wawili chini yake; 45masufuria, masepetu na mabakuli ya kunyunyizia.
Vyombo hivi vyote ambavyo Huramu alimtengenezea Mfalme Solomoni kwa ajili ya Hekalu la Bwana vilikuwa vya shaba iliyongʼarishwa. 46Mfalme akaamuru wavisubu katika kalibu ya udongo wa mfinyanzi katika uwanda wa Yordani ulio kati ya Sukothi na Sarethani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.