Native Bible

1 Kings 7:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

vitako kumi pamoja na masinia yake kumi;

1 Kings 7:43 in English

1 Kings 7:43 · Berean Standard Bible

the ten stands; the ten basins on the stands;

Context

41nguzo mbili; mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo; nyavu mbili za kupamba hayo mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo; 42makomamanga 400 kwa ajili ya hizo nyavu mbili (safu mbili za makomamanga kwa kila wavu, yakipamba hayo mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo); 43vitako kumi pamoja na masinia yake kumi; 44ile Bahari ya chuma na yale mafahali kumi na wawili chini yake; 45masufuria, masepetu na mabakuli ya kunyunyizia. Vyombo hivi vyote ambavyo Huramu alimtengenezea Mfalme Solomoni kwa ajili ya Hekalu la Bwana vilikuwa vya shaba iliyongʼarishwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.