1 Wafalme 7:46
1 Kings 7:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mfalme akaamuru wavisubu katika kalibu ya udongo wa mfinyanzi katika uwanda wa Yordani ulio kati ya Sukothi na Sarethani.
1 Kings 7:46 in English
1 Kings 7:46 · Berean Standard Bible
The king had them cast in clay molds in the plain of the Jordan between Succoth and Zarethan.*
Context
44ile Bahari ya chuma na yale mafahali kumi na wawili chini yake; 45masufuria, masepetu na mabakuli ya kunyunyizia.
Vyombo hivi vyote ambavyo Huramu alimtengenezea Mfalme Solomoni kwa ajili ya Hekalu la Bwana vilikuwa vya shaba iliyongʼarishwa. 46Mfalme akaamuru wavisubu katika kalibu ya udongo wa mfinyanzi katika uwanda wa Yordani ulio kati ya Sukothi na Sarethani. 47Solomoni akaviacha vitu hivi vyote bila kupima uzani wake, kwa sababu vilikuwa vingi sana hivi kwamba uzito wa shaba haungekadirika. 48Solomoni pia akatengeneza samani zote zilizokuwa ndani ya Hekalu la Bwana:
madhabahu ya dhahabu;
meza ya dhahabu za kuweka mikate ya Wonyesho;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.