Native Bible

1 Kings 4:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ben-Dekeri: katika Makasi, Shaalbimu, Beth-Shemeshi na Elon-Bethhanani;

1 Kings 4:9 in English

1 Kings 4:9 · Berean Standard Bible

Ben-deker in Makaz, in Shaalbim, in Beth-shemesh, and in Elon-beth-hanan;

Context

7Pia Solomoni alikuwa na watawala kumi na wawili wa wilaya katika Israeli yote, walioleta mahitaji kwa mfalme na kwa watu wa nyumbani kwa mfalme. Kila mmoja alitoa chakula kwa mwezi mmoja katika mwaka. 8Majina yao ni haya: Ben-Huri: katika nchi ya vilima ya Efraimu; 9Ben-Dekeri: katika Makasi, Shaalbimu, Beth-Shemeshi na Elon-Bethhanani; 10Ben-Hesedi: katika Arubothi (Soko na nchi yote ya Heferi zilikuwa zake); 11Ben-Abinadabu: katika Nafoth-Dori (alimwoa Tafathi binti Solomoni);

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.