1 Wafalme 4:10
1 Kings 4:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ben-Hesedi: katika Arubothi (Soko na nchi yote ya Heferi zilikuwa zake);
1 Kings 4:10 in English
1 Kings 4:10 · Berean Standard Bible
Ben-hesed in Arubboth (Socoh and all the land of Hepher belonged to him);
Context
8Majina yao ni haya:
Ben-Huri: katika nchi ya vilima ya Efraimu; 9Ben-Dekeri: katika Makasi, Shaalbimu, Beth-Shemeshi na Elon-Bethhanani; 10Ben-Hesedi: katika Arubothi (Soko na nchi yote ya Heferi zilikuwa zake); 11Ben-Abinadabu: katika Nafoth-Dori (alimwoa Tafathi binti Solomoni); 12Baana mwana wa Ahiludi: katika Taanaki na Megido, na katika Beth-Shani yote karibu na Sarethani chini ya Yezreeli, kuanzia Beth-Shani hadi Abel-Mehola kupita hadi Yokmeamu;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.