Native Bible

1 Kings 4:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Majina yao ni haya: Ben-Huri: katika nchi ya vilima ya Efraimu;

1 Kings 4:8 in English

1 Kings 4:8 · Berean Standard Bible

and these were their names: Ben-hur in the hill country of Ephraim;

Context

6Ahishari: msimamizi wa jumba la kifalme; Adoniramu mwana wa Abda: msimamizi wa kazi za kulazimisha. 7Pia Solomoni alikuwa na watawala kumi na wawili wa wilaya katika Israeli yote, walioleta mahitaji kwa mfalme na kwa watu wa nyumbani kwa mfalme. Kila mmoja alitoa chakula kwa mwezi mmoja katika mwaka. 8Majina yao ni haya: Ben-Huri: katika nchi ya vilima ya Efraimu; 9Ben-Dekeri: katika Makasi, Shaalbimu, Beth-Shemeshi na Elon-Bethhanani; 10Ben-Hesedi: katika Arubothi (Soko na nchi yote ya Heferi zilikuwa zake);

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.