1 Wafalme 4:12
1 Kings 4:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baana mwana wa Ahiludi: katika Taanaki na Megido, na katika Beth-Shani yote karibu na Sarethani chini ya Yezreeli, kuanzia Beth-Shani hadi Abel-Mehola kupita hadi Yokmeamu;
1 Kings 4:12 in English
1 Kings 4:12 · Berean Standard Bible
Baana son of Ahilud in Taanach, in Megiddo, and in all of Beth-shean next to Zarethan below Jezreel, from Beth-shean to Abel-meholah and on past Jokmeam;
Context
10Ben-Hesedi: katika Arubothi (Soko na nchi yote ya Heferi zilikuwa zake); 11Ben-Abinadabu: katika Nafoth-Dori (alimwoa Tafathi binti Solomoni); 12Baana mwana wa Ahiludi: katika Taanaki na Megido, na katika Beth-Shani yote karibu na Sarethani chini ya Yezreeli, kuanzia Beth-Shani hadi Abel-Mehola kupita hadi Yokmeamu; 13Ben-Geberi: katika Ramoth-Gileadi (makao ya Yairi mwana wa Manase katika Gileadi ilikuwa miji yake, pamoja na wilaya ya Argobu katika Bashani na miji yake mikubwa sitini yenye kuzungukwa na kuta zenye makomeo ya shaba); 14Ahinadabu mwana wa Ido: katika Mahanaimu;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.