1 Wafalme 4:14
1 Kings 4:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ahinadabu mwana wa Ido: katika Mahanaimu;
1 Kings 4:14 in English
1 Kings 4:14 · Berean Standard Bible
Ahinadab son of Iddo in Mahanaim;
Context
12Baana mwana wa Ahiludi: katika Taanaki na Megido, na katika Beth-Shani yote karibu na Sarethani chini ya Yezreeli, kuanzia Beth-Shani hadi Abel-Mehola kupita hadi Yokmeamu; 13Ben-Geberi: katika Ramoth-Gileadi (makao ya Yairi mwana wa Manase katika Gileadi ilikuwa miji yake, pamoja na wilaya ya Argobu katika Bashani na miji yake mikubwa sitini yenye kuzungukwa na kuta zenye makomeo ya shaba); 14Ahinadabu mwana wa Ido: katika Mahanaimu; 15Ahimaasi: katika Naftali (alikuwa amemwoa Basemathi binti Solomoni); 16Baana mwana wa Hushai: katika Asheri na katika Bealothi;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.