Native Bible

1 Kings 4:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ahimaasi: katika Naftali (alikuwa amemwoa Basemathi binti Solomoni);

1 Kings 4:15 in English

1 Kings 4:15 · Berean Standard Bible

Ahimaaz in Naphtali (he had married Basemath, a daughter of Solomon);

Context

13Ben-Geberi: katika Ramoth-Gileadi (makao ya Yairi mwana wa Manase katika Gileadi ilikuwa miji yake, pamoja na wilaya ya Argobu katika Bashani na miji yake mikubwa sitini yenye kuzungukwa na kuta zenye makomeo ya shaba); 14Ahinadabu mwana wa Ido: katika Mahanaimu; 15Ahimaasi: katika Naftali (alikuwa amemwoa Basemathi binti Solomoni); 16Baana mwana wa Hushai: katika Asheri na katika Bealothi; 17Yehoshafati mwana wa Parua: katika Isakari;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.