1 Wafalme 4:17
1 Kings 4:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yehoshafati mwana wa Parua: katika Isakari;
1 Kings 4:17 in English
1 Kings 4:17 · Berean Standard Bible
Jehoshaphat son of Paruah in Issachar;
Context
15Ahimaasi: katika Naftali (alikuwa amemwoa Basemathi binti Solomoni); 16Baana mwana wa Hushai: katika Asheri na katika Bealothi; 17Yehoshafati mwana wa Parua: katika Isakari; 18Shimei mwana wa Ela: katika Benyamini; 19Geberi mwana wa Uri: katika Gileadi (nchi ya Sihoni mfalme wa Waamori na nchi ya Ogu mfalme wa Bashani). Naye alikuwa ndiye mtawala pekee katika eneo hilo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.