Native Bible

1 Kings 4:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Shimei mwana wa Ela: katika Benyamini;

1 Kings 4:18 in English

1 Kings 4:18 · Berean Standard Bible

Shimei son of Ela in Benjamin;

Context

16Baana mwana wa Hushai: katika Asheri na katika Bealothi; 17Yehoshafati mwana wa Parua: katika Isakari; 18Shimei mwana wa Ela: katika Benyamini; 19Geberi mwana wa Uri: katika Gileadi (nchi ya Sihoni mfalme wa Waamori na nchi ya Ogu mfalme wa Bashani). Naye alikuwa ndiye mtawala pekee katika eneo hilo. 20Watu wa Yuda na Israeli walikuwa wengi kama mchanga wa pwani; walikula, wakanywa na kufurahi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.