1 Wafalme 4:20
1 Kings 4:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watu wa Yuda na Israeli walikuwa wengi kama mchanga wa pwani; walikula, wakanywa na kufurahi.
1 Kings 4:20 in English
1 Kings 4:20 · Berean Standard Bible
The people of Judah and Israel were as numerous as the sand on the seashore, and they were eating and drinking and rejoicing.
Context
18Shimei mwana wa Ela: katika Benyamini; 19Geberi mwana wa Uri: katika Gileadi (nchi ya Sihoni mfalme wa Waamori na nchi ya Ogu mfalme wa Bashani). Naye alikuwa ndiye mtawala pekee katika eneo hilo. 20Watu wa Yuda na Israeli walikuwa wengi kama mchanga wa pwani; walikula, wakanywa na kufurahi. 21Mfalme Solomoni akatawala katika falme zote kuanzia Mto Frati hadi nchi ya Wafilisti, hadi kwenye mpaka wa Misri. Nchi hizi zilileta ushuru na zilikuwa chini ya Solomoni, siku zote za maisha yake. 22Mahitaji ya Solomoni ya kila siku yalikuwa kori thelathini* za unga laini, kori sitini* za unga wa kawaida.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.