1 Wafalme 4:11
1 Kings 4:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ben-Abinadabu: katika Nafoth-Dori (alimwoa Tafathi binti Solomoni);
1 Kings 4:11 in English
1 Kings 4:11 · Berean Standard Bible
Ben-abinadab in Naphath-dor * (Taphath, a daughter of Solomon, was his wife);
Context
9Ben-Dekeri: katika Makasi, Shaalbimu, Beth-Shemeshi na Elon-Bethhanani; 10Ben-Hesedi: katika Arubothi (Soko na nchi yote ya Heferi zilikuwa zake); 11Ben-Abinadabu: katika Nafoth-Dori (alimwoa Tafathi binti Solomoni); 12Baana mwana wa Ahiludi: katika Taanaki na Megido, na katika Beth-Shani yote karibu na Sarethani chini ya Yezreeli, kuanzia Beth-Shani hadi Abel-Mehola kupita hadi Yokmeamu; 13Ben-Geberi: katika Ramoth-Gileadi (makao ya Yairi mwana wa Manase katika Gileadi ilikuwa miji yake, pamoja na wilaya ya Argobu katika Bashani na miji yake mikubwa sitini yenye kuzungukwa na kuta zenye makomeo ya shaba);
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.