Native Bible

1 Kings 4:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Elihorefu na Ahiya, wana wa Shisha: waandishi; Yehoshafati mwana wa Ahiludi: karani;

1 Kings 4:3 in English

1 Kings 4:3 · Berean Standard Bible

Elihoreph and Ahijah, the sons of Shisha,* were secretaries; Jehoshaphat son of Ahilud was the recorder;

Context

1Basi Mfalme Solomoni akatawala Israeli yote. 2Hawa ndio waliokuwa maafisa wake wakuu: Kuhani: Azaria mwana wa Sadoki; 3Elihorefu na Ahiya, wana wa Shisha: waandishi; Yehoshafati mwana wa Ahiludi: karani; 4Benaya mwana wa Yehoyada: jemadari mkuu wa jeshi; Sadoki na Abiathari: makuhani; 5Azaria mwana wa Nathani: kiongozi wa maafisa wa wilaya; Zabudi mwana wa Nathani: kuhani na mshauri binafsi wa mfalme;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.