1 Wafalme 4:5
1 Kings 4:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Azaria mwana wa Nathani: kiongozi wa maafisa wa wilaya; Zabudi mwana wa Nathani: kuhani na mshauri binafsi wa mfalme;
1 Kings 4:5 in English
1 Kings 4:5 · Berean Standard Bible
Azariah son of Nathan was in charge of the governors; Zabud son of Nathan was a priest and adviser to the king;
Context
3Elihorefu na Ahiya, wana wa Shisha: waandishi;
Yehoshafati mwana wa Ahiludi: karani; 4Benaya mwana wa Yehoyada: jemadari mkuu wa jeshi;
Sadoki na Abiathari: makuhani; 5Azaria mwana wa Nathani: kiongozi wa maafisa wa wilaya;
Zabudi mwana wa Nathani: kuhani na mshauri binafsi wa mfalme; 6Ahishari: msimamizi wa jumba la kifalme;
Adoniramu mwana wa Abda: msimamizi wa kazi za kulazimisha. 7Pia Solomoni alikuwa na watawala kumi na wawili wa wilaya katika Israeli yote, walioleta mahitaji kwa mfalme na kwa watu wa nyumbani kwa mfalme. Kila mmoja alitoa chakula kwa mwezi mmoja katika mwaka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.