Native Bible

1 Kings 4:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi Mfalme Solomoni akatawala Israeli yote.

1 Kings 4:1 in English

1 Kings 4:1 · Berean Standard Bible

So King Solomon ruled over Israel,

Context

1Basi Mfalme Solomoni akatawala Israeli yote. 2Hawa ndio waliokuwa maafisa wake wakuu: Kuhani: Azaria mwana wa Sadoki; 3Elihorefu na Ahiya, wana wa Shisha: waandishi; Yehoshafati mwana wa Ahiludi: karani;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.