Native Bible

1 Kings 4:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hawa ndio waliokuwa maafisa wake wakuu: Kuhani: Azaria mwana wa Sadoki;

1 Kings 4:2 in English

1 Kings 4:2 · Berean Standard Bible

and these were his chief officials: Azariah son of Zadok was the priest;

Context

1Basi Mfalme Solomoni akatawala Israeli yote. 2Hawa ndio waliokuwa maafisa wake wakuu: Kuhani: Azaria mwana wa Sadoki; 3Elihorefu na Ahiya, wana wa Shisha: waandishi; Yehoshafati mwana wa Ahiludi: karani; 4Benaya mwana wa Yehoyada: jemadari mkuu wa jeshi; Sadoki na Abiathari: makuhani;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.