Native Bible

1 Corinthians 9:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huu ndio utetezi wangu kwa hao wanaokaa kunihukumu.

1 Corinthians 9:3 in English

1 Corinthians 9:3 · Berean Standard Bible

This is my defense to those who scrutinize me:

Context

1Je, mimi si huru? Je, mimi si mtume? Je, mimi sikumwona Yesu, Bwana wetu? Je, ninyi si matunda ya kazi yangu katika Bwana? 2Hata kama mimi si mtume kwa wengine, hakika mimi ni mtume kwenu, kwa maana ninyi ni mhuri wa utume wangu katika Bwana. 3Huu ndio utetezi wangu kwa hao wanaokaa kunihukumu. 4Je, hatuna haki ya kula na kunywa? 5Je, hatuna haki ya kusafiri na mke anayeamini, kama wanavyofanya mitume wengine na ndugu zake Bwana na Kefa?*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.