1 Wakorintho 9:4
1 Corinthians 9:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, hatuna haki ya kula na kunywa?
1 Corinthians 9:4 in English
1 Corinthians 9:4 · Berean Standard Bible
Have we no right to food and to drink?
Context
2Hata kama mimi si mtume kwa wengine, hakika mimi ni mtume kwenu, kwa maana ninyi ni mhuri wa utume wangu katika Bwana. 3Huu ndio utetezi wangu kwa hao wanaokaa kunihukumu. 4Je, hatuna haki ya kula na kunywa? 5Je, hatuna haki ya kusafiri na mke anayeamini, kama wanavyofanya mitume wengine na ndugu zake Bwana na Kefa?* 6Au ni mimi na Barnaba tu inatubidi kufanya kazi ili tuweze kupata mahitaji yetu?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.