1 Wakorintho 9:5
1 Corinthians 9:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, hatuna haki ya kusafiri na mke anayeamini, kama wanavyofanya mitume wengine na ndugu zake Bwana na Kefa?*
1 Corinthians 9:5 in English
1 Corinthians 9:5 · Berean Standard Bible
Have we no right to take along a believing wife,* as do the other apostles and the Lord’s brothers and Cephas?*
Context
3Huu ndio utetezi wangu kwa hao wanaokaa kunihukumu. 4Je, hatuna haki ya kula na kunywa? 5Je, hatuna haki ya kusafiri na mke anayeamini, kama wanavyofanya mitume wengine na ndugu zake Bwana na Kefa?* 6Au ni mimi na Barnaba tu inatubidi kufanya kazi ili tuweze kupata mahitaji yetu? 7Ni askari yupi aendaye vitani kwa gharama zake mwenyewe? Ni nani apandaye shamba la mizabibu na asile matunda yake? Ni nani achungaye kundi na asipate maziwa yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.