1 Wakorintho 16:18
1 Corinthians 16:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa kuwa waliiburudisha roho yangu na zenu pia. Watu kama hawa wanastahili kutambuliwa.
1 Corinthians 16:18 in English
1 Corinthians 16:18 · Berean Standard Bible
For they refreshed my spirit and yours as well. Show your appreciation, therefore, to such men.
Context
16mjitie katika kuwahudumia watu kama hawa na kila mmoja aingiaye kwenye kazi na kuifanya kwa bidii. 17Nilifurahi wakati Stefana, Fortunato na Akaiko walipofika, kwa sababu wamenipatia yale niliyopungukiwa kutoka kwenu. 18Kwa kuwa waliiburudisha roho yangu na zenu pia. Watu kama hawa wanastahili kutambuliwa. 19Makanisa ya Asia yanawasalimu. Akila na Prisila,* pamoja na kanisa lililoko nyumbani kwao wanawasalimu sana katika Bwana. 20Ndugu wote walioko hapa wanawasalimu. Salimianeni kwa busu takatifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.