1 Wakorintho 16:17
1 Corinthians 16:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nilifurahi wakati Stefana, Fortunato na Akaiko walipofika, kwa sababu wamenipatia yale niliyopungukiwa kutoka kwenu.
1 Corinthians 16:17 in English
1 Corinthians 16:17 · Berean Standard Bible
I am glad that Stephanas, Fortunatus, and Achaicus have arrived, because they have supplied what was lacking from you.
Context
15Ninyi mnajua kwamba watu wa nyumbani mwa Stefana ndio waliokuwa wa kwanza kuamini katika Akaya, nao wamejitoa kwa ajili ya kuwahudumia watakatifu. Ndugu nawasihi, 16mjitie katika kuwahudumia watu kama hawa na kila mmoja aingiaye kwenye kazi na kuifanya kwa bidii. 17Nilifurahi wakati Stefana, Fortunato na Akaiko walipofika, kwa sababu wamenipatia yale niliyopungukiwa kutoka kwenu. 18Kwa kuwa waliiburudisha roho yangu na zenu pia. Watu kama hawa wanastahili kutambuliwa. 19Makanisa ya Asia yanawasalimu. Akila na Prisila,* pamoja na kanisa lililoko nyumbani kwao wanawasalimu sana katika Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.