Native Bible

1 Corinthians 16:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Makanisa ya Asia yanawasalimu. Akila na Prisila,* pamoja na kanisa lililoko nyumbani kwao wanawasalimu sana katika Bwana.

1 Corinthians 16:19 in English

1 Corinthians 16:19 · Berean Standard Bible

The churches in the province of Asia * send you greetings. Aquila and Prisca * greet you warmly in the Lord, and so does the church that meets at their house.

Context

17Nilifurahi wakati Stefana, Fortunato na Akaiko walipofika, kwa sababu wamenipatia yale niliyopungukiwa kutoka kwenu. 18Kwa kuwa waliiburudisha roho yangu na zenu pia. Watu kama hawa wanastahili kutambuliwa. 19Makanisa ya Asia yanawasalimu. Akila na Prisila,* pamoja na kanisa lililoko nyumbani kwao wanawasalimu sana katika Bwana. 20Ndugu wote walioko hapa wanawasalimu. Salimianeni kwa busu takatifu. 21Mimi, Paulo, naandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.