Native Bible

1 Corinthians 16:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndugu wote walioko hapa wanawasalimu. Salimianeni kwa busu takatifu.

1 Corinthians 16:20 in English

1 Corinthians 16:20 · Berean Standard Bible

All the brothers here send you greetings. Greet one another with a holy kiss.

Context

18Kwa kuwa waliiburudisha roho yangu na zenu pia. Watu kama hawa wanastahili kutambuliwa. 19Makanisa ya Asia yanawasalimu. Akila na Prisila,* pamoja na kanisa lililoko nyumbani kwao wanawasalimu sana katika Bwana. 20Ndugu wote walioko hapa wanawasalimu. Salimianeni kwa busu takatifu. 21Mimi, Paulo, naandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe. 22Kama mtu yeyote hampendi Bwana Yesu Kristo, na alaaniwe. Bwana wetu, njoo.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.