1 Wakorintho 15:5
1 Corinthians 15:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na kwamba alimtokea Kefa,* kisha akawatokea wale kumi na wawili.
1 Corinthians 15:5 in English
1 Corinthians 15:5 · Berean Standard Bible
and that He appeared to Cephas * and then to the Twelve.
Context
3Kwa maana yale niliyopokea ndiyo niliyowapa ninyi, kama yenye umuhimu wa kwanza: Kwamba Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama yasemavyo Maandiko, 4ya kuwa alizikwa na alifufuliwa siku ya tatu, kama yasemavyo Maandiko, 5na kwamba alimtokea Kefa,* kisha akawatokea wale kumi na wawili. 6Baadaye akawatokea wale ndugu waumini zaidi ya 500 kwa pamoja, ambao wengi wao bado wako hai, ingawa wengine wamelala. 7Ndipo akamtokea Yakobo na kisha mitume wote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.