1 Wakorintho 15:3
1 Corinthians 15:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana yale niliyopokea ndiyo niliyowapa ninyi, kama yenye umuhimu wa kwanza: Kwamba Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama yasemavyo Maandiko,
1 Corinthians 15:3 in English
1 Corinthians 15:3 · Berean Standard Bible
For what I received I passed on to you as of first importance: that Christ died for our sins according to the Scriptures,
Context
1Basi ndugu zangu nataka niwakumbushe kuhusu Injili niliyowahubiria, mkaipokea na ambayo katika hiyo mmesimama. 2Kwa Injili hii mnaokolewa mkishikilia kwa uthabiti neno nililowahubiria ninyi. La sivyo, mmeamini katika ubatili. 3Kwa maana yale niliyopokea ndiyo niliyowapa ninyi, kama yenye umuhimu wa kwanza: Kwamba Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama yasemavyo Maandiko, 4ya kuwa alizikwa na alifufuliwa siku ya tatu, kama yasemavyo Maandiko, 5na kwamba alimtokea Kefa,* kisha akawatokea wale kumi na wawili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.