Native Bible

1 Corinthians 15:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baadaye akawatokea wale ndugu waumini zaidi ya 500 kwa pamoja, ambao wengi wao bado wako hai, ingawa wengine wamelala.

1 Corinthians 15:6 in English

1 Corinthians 15:6 · Berean Standard Bible

After that, He appeared to more than five hundred brothers at once, most of whom are still living, though some have fallen asleep.

Context

4ya kuwa alizikwa na alifufuliwa siku ya tatu, kama yasemavyo Maandiko, 5na kwamba alimtokea Kefa,* kisha akawatokea wale kumi na wawili. 6Baadaye akawatokea wale ndugu waumini zaidi ya 500 kwa pamoja, ambao wengi wao bado wako hai, ingawa wengine wamelala. 7Ndipo akamtokea Yakobo na kisha mitume wote. 8Mwisho wa wote, akanitokea mimi pia, ambaye ni kama aliyezaliwa si kwa wakati wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.