Native Bible

1 Corinthians 15:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo akamtokea Yakobo na kisha mitume wote.

1 Corinthians 15:7 in English

1 Corinthians 15:7 · Berean Standard Bible

Then He appeared to James, then to all the apostles.

Context

5na kwamba alimtokea Kefa,* kisha akawatokea wale kumi na wawili. 6Baadaye akawatokea wale ndugu waumini zaidi ya 500 kwa pamoja, ambao wengi wao bado wako hai, ingawa wengine wamelala. 7Ndipo akamtokea Yakobo na kisha mitume wote. 8Mwisho wa wote, akanitokea mimi pia, ambaye ni kama aliyezaliwa si kwa wakati wake. 9Kwa maana mimi ndiye mdogo kuliko mitume wote, nisiyestahili kuitwa mtume, kwa sababu nililitesa kanisa la Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.