1 Nyakati 8:34
1 Chronicles 8:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yonathani akamzaa: Merib-Baali,* naye Merib-Baali akamzaa Mika.
1 Chronicles 8:34 in English
1 Chronicles 8:34 · Berean Standard Bible
The son of Jonathan: Merib-baal,* and Merib-baal was the father of Micah.*
Context
32na Miklothi ambaye alikuwa baba yake Shimea. Hawa pia waliishi karibu na jamaa zao huko Yerusalemu. 33Neri akamzaa Kishi, Kishi akamzaa Sauli, Sauli akamzaa Yonathani, Malki-Shua, Abinadabu na Esh-Baali. 34Yonathani akamzaa:
Merib-Baali,* naye Merib-Baali akamzaa Mika. 35Wana wa Mika walikuwa:
Pithoni, Meleki, Tarea na Ahazi. 36Ahazi akamzaa Yehoada. Naye Yehoada akawazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri, naye Zimri akamzaa Mosa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.