Native Bible

1 Chronicles 8:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ahazi akamzaa Yehoada. Naye Yehoada akawazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri, naye Zimri akamzaa Mosa.

1 Chronicles 8:36 in English

1 Chronicles 8:36 · Berean Standard Bible

Ahaz was the father of Jehoaddah, Jehoaddah * was the father of Alemeth, Azmaveth, and Zimri, and Zimri was the father of Moza.

Context

34Yonathani akamzaa: Merib-Baali,* naye Merib-Baali akamzaa Mika. 35Wana wa Mika walikuwa: Pithoni, Meleki, Tarea na Ahazi. 36Ahazi akamzaa Yehoada. Naye Yehoada akawazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri, naye Zimri akamzaa Mosa. 37Mosa akamzaa Binea, Binea akamzaa Rafa, na mwanawe huyo ni Eleasa, na mwanawe huyo ni Aseli. 38Aseli alikuwa na wana sita; haya ndiyo majina yao: Azrikamu, Bokeru, Ishmaeli, Shearia, Obadia na Hanani. Hawa wote ndio waliokuwa wana wa Aseli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.