Native Bible

1 Chronicles 8:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Mika walikuwa: Pithoni, Meleki, Tarea na Ahazi.

1 Chronicles 8:35 in English

1 Chronicles 8:35 · Berean Standard Bible

The sons of Micah: Pithon, Melech, Tarea,* and Ahaz.

Context

33Neri akamzaa Kishi, Kishi akamzaa Sauli, Sauli akamzaa Yonathani, Malki-Shua, Abinadabu na Esh-Baali. 34Yonathani akamzaa: Merib-Baali,* naye Merib-Baali akamzaa Mika. 35Wana wa Mika walikuwa: Pithoni, Meleki, Tarea na Ahazi. 36Ahazi akamzaa Yehoada. Naye Yehoada akawazaa Alemethi, Azmawethi na Zimri, naye Zimri akamzaa Mosa. 37Mosa akamzaa Binea, Binea akamzaa Rafa, na mwanawe huyo ni Eleasa, na mwanawe huyo ni Aseli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.