Native Bible

1 Chronicles 8:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Neri akamzaa Kishi, Kishi akamzaa Sauli, Sauli akamzaa Yonathani, Malki-Shua, Abinadabu na Esh-Baali.

1 Chronicles 8:33 in English

1 Chronicles 8:33 · Berean Standard Bible

Ner was the father of Kish, Kish was the father of Saul, and Saul was the father of Jonathan, Malchishua, Abinadab, and Esh-baal.*

Context

31Gedori, Ahio, Zekeri, 32na Miklothi ambaye alikuwa baba yake Shimea. Hawa pia waliishi karibu na jamaa zao huko Yerusalemu. 33Neri akamzaa Kishi, Kishi akamzaa Sauli, Sauli akamzaa Yonathani, Malki-Shua, Abinadabu na Esh-Baali. 34Yonathani akamzaa: Merib-Baali,* naye Merib-Baali akamzaa Mika. 35Wana wa Mika walikuwa: Pithoni, Meleki, Tarea na Ahazi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.