Native Bible

1 Chronicles 8:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na Miklothi ambaye alikuwa baba yake Shimea. Hawa pia waliishi karibu na jamaa zao huko Yerusalemu.

1 Chronicles 8:32 in English

1 Chronicles 8:32 · Berean Standard Bible

and Mikloth, who was the father of Shimeah.* These also lived alongside their relatives in Jerusalem.

Context

30Mwanawe mzaliwa wa kwanza alikuwa Abdoni, akafuatiwa na Suri, Kishi, Baali, Neri, Nadabu, 31Gedori, Ahio, Zekeri, 32na Miklothi ambaye alikuwa baba yake Shimea. Hawa pia waliishi karibu na jamaa zao huko Yerusalemu. 33Neri akamzaa Kishi, Kishi akamzaa Sauli, Sauli akamzaa Yonathani, Malki-Shua, Abinadabu na Esh-Baali. 34Yonathani akamzaa: Merib-Baali,* naye Merib-Baali akamzaa Mika.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.