1 Nyakati 6:67
1 Chronicles 6:67 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Katika nchi ya vilima ya Efraimu walipewa Shekemu (mji wa makimbilio) na Gezeri,
1 Chronicles 6:67 in English
1 Chronicles 6:67 · Berean Standard Bible
They were given Shechem (a city of refuge)* with its pasturelands in the hill country of Ephraim, and Gezer,
Context
65Kutoka makabila ya Yuda, Simeoni na Benyamini walipewa miji iliyotajwa hapo juu. 66Baadhi ya koo za Wakohathi walipewa kama nchi yao miji kutoka kabila la Efraimu. 67Katika nchi ya vilima ya Efraimu walipewa Shekemu (mji wa makimbilio) na Gezeri, 68Yokmeamu, Beth-Horoni, 69Aiyaloni na Gath-Rimoni, pamoja na maeneo yake ya malisho.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.