1 Nyakati 6:69
1 Chronicles 6:69 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Aiyaloni na Gath-Rimoni, pamoja na maeneo yake ya malisho.
1 Chronicles 6:69 in English
1 Chronicles 6:69 · Berean Standard Bible
Aijalon, and Gath-rimmon, together with their pasturelands.
Context
67Katika nchi ya vilima ya Efraimu walipewa Shekemu (mji wa makimbilio) na Gezeri, 68Yokmeamu, Beth-Horoni, 69Aiyaloni na Gath-Rimoni, pamoja na maeneo yake ya malisho. 70Kutoka nusu ya kabila la Manase, Waisraeli waliwapa koo za Wakohathi waliobaki miji ya Aneri na Bileamu pamoja na maeneo yake ya malisho. 71Wagershoni walipokea miji ifuatayo pamoja na maeneo yake ya malisho:
Katika nusu ya kabila la Manase:
walipewa Golani katika Bashani na pia Ashtarothi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.